Ticker

10/recent/ticker-posts

PACHA WA DIAMOND:JE HUYU NI PACHA WA DIAMOND PLATNUMZ AU NI NANI?MUONE TU


Kijana huyu anaitwa VERY  EVANS ni Kijana mtanzania mwenye bidii na anayejituma huku akifanya biashara yake ndogo kumuingizia kipato huko Kinondoni ya jijini  Dar es Salaam.

Mwandishi wetu Baada ya kumuuliza endapo siku moja anatamani kuonana na msanii Diamond Platnumz amesema hakuna mtu ambaye hana Ndoto za kuonana na kijana aliyefanikiwa kama msanii Diamond hivyo naye angefurahi endapo angepata nafasi ya kuonana naye ili aweze kujadili naye mambo mbalimbali na kupata mawazo chanya ya mafanikio kwani naye anaamini kufanikiwa kunahitaji kujifunza zaidi kwa waliofanikiwa.

Kijana huy ameenda mbalki zaidi kwa kusema yeye ana ndoto za kuwa mfanayabiashara mkubwa huku akisema pia anatamani kuona vijana wengi wakijituma kwa wanayoyafanya ili nao waweze kujikwamua kimaisha huku akiwaasa kuwa na uzalendo kwa nchi yao ikiwepo kuunga mkono juhudi za kazi mbalimbali zinazofanywa na serikali kuwawezesha vijana na jamii kwa ujumla.


Kijana huyu anapatikana kwa namba 0763583265 yeye  anaamini Msanii Diamond au uongozi wake wanaweza kumpata na kuonana naye kwani watu wengi wamekuwa wakimsumbua wakiamini ni ndugu au pacha wa Diamond Platnumz jambo linalochochea yeye kumtafuta Msanii huyo Mkubwa Tanzania na Afrika kwa sasa .

Post a Comment

0 Comments