Ticker

10/recent/ticker-posts

Mtoto wa Lowassa Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM Jimbo la Monduli

Mtoto wa Waziri Mkuu mstaafu Lowassa, Fredrick Lowassa leo July 21,2020, ameongoza kura za maoni katika Jimbo la Monduli mkoani Arusha baada ya kupata kura 244

Katika nafasi ya pili yupo Julius Kalanga aliyepata kura 162 huku nafasi ya tatu ikishikiliwa na Wilson Lengima aliyepata kura 149.