LINDA BEZUIDENHOUT COUTURE YA MTANZANIA YATIA FORA ATLANTA, MAREKANI

  Masama Blog      
LINDA BEZUIDENHOUT COUTURE YA MTANZANIA  ANAEISHI ATLANTA  MAREKANI IMEWEKA IMEWEKA REKODI WEEKEND ILIOPITA JIJINI ATLANTA KWENYE HAFLA YA   HARAMBEE KUCHANGIA ELIM U IJULIKANAYO MAKA ATLANTA MAYORS BALL. 
MAYOR WA ATLANTA KEISHA LANCE BOTTOMS NA MAMA  YAKE SYLVIA BOTTOMS WALIENDA KWENYE DUKA LA LB COUTURE KUNUNUA NGUO NA NDIPO LINDA ALIVOPATA FURSA YA KUMVISHA MAYOR WA ATLANTA NA MAMA  YAKE.
KWENYE PICHA ZIFUATAZO KUNA BAADHI YA MA-STAR WALIJITOKEZA KWENYE HAFLA HIYO YA HADHI KUBWA WAKIWA NA MAVAZI YA LINDA BEZUIDENHOUT COUTURE .
 Mstahiki Meya wa jiji la Atlanta Keisha Lance Bottoms na mumewe Cedric Bottoms wakiwasili kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi Atrium wa hoteli ya Atlanta Marriot Marquis, jijini Atlanta, Marekani. Gauni alilovaa limetengenezwa na Mtanzania Linda Bezuidenhot
 Mstahiki Meya wa jiji la Atlanta Keisha Lance Bottoms na mumewe wakiwasili kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi Atrium wa hoteli ya Atlanta Marriot Marquis, jijini Atlanta, Marekani.

 Mstahiki Meya wa jiji la Atlanta Keisha Lance Bottoms na mumewe wakiwasili kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi Atrium wa hoteli ya Atlanta Marriot Marquis, jijini Atlanta, Marekani.

Mama wa Meya wa Atlanta Sylvia Robinson nae alivalishwa na Linda

 Linda akiwa na mwanasiasa mkongwe Andrew Young
 Linda akiwa VIP reception na mteja wake GIZELLE BRYANT wa kipindi cha House Wives of Potomac
 Linda akiwa VIP reception na mteja wake GIZELLE BRYANT wa kipindi cha House Wives of Potomac na wengine
 Linda akiwa VIP reception akihojiwa


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2t8svDK
via
logoblog

Thanks for reading LINDA BEZUIDENHOUT COUTURE YA MTANZANIA YATIA FORA ATLANTA, MAREKANI

Previous
« Prev Post