Ticker

10/recent/ticker-posts

TOP 7 YA VITU AMBAVYO KILA MWANAUME WA KITANZANIA ANAHITAJI KUVIELEWA KUHUSU MWILI WA MSICHANA

Wanaume wa Tanzania sikilizeni na sikilizeni kwa makini sana.
Kuna vitu ambavyo unahitajika kuvifahamu kuhusu mwili wa mwanamke ili kukusaidia kuepusha bifu lolote na mpenzi wako,kwa hiyo wewe soma hapa tu hivi vitu vya muhimu sana navyoenda kukuandikia hapa chini kuhusu tendo la ndoa na mapenzi kwa ujumla na utatushukuru baadaye baada ya kutumia hizo mbinu muhimu,na kumuelewa mpenzi wako hasa tabia pamoja na maumbile yake



1.]WANAWAKE WANACHUKUA MUDA MREFU SANA ILI KUPATA MHEMUKO WA KIMAHABA.

2.]WAKO MAKINI SANA LINAPOKUJA SWALA LAO LA "MWEZI".

3.]WANAMAUMIVU YA MISULI YA TUMBO KARIBU KILA MWEZI.

4.]WANAJAMBA SANA KULIKO WANAUME.


5.]WAKO KATIKA MAUMBILE TOFAUTI TOFAUTI YA "IKULU" KAMA SISI WANAUME TULIVYO.

6.]WANAPENDA SANA KUKUMBATIWA.

7.]WANAFIKA KILELENI MARA NYINGI KWA WAKATI MMOJA.