Ticker

10/recent/ticker-posts

Adele kupumzika kufanya muziki kwa miaka mitano.

adelePop Staa Adele ametajwa kuchukua likizo ya miaka mitano nje ya muziki baada ya kukamilisha ziara yake ya show 105 Ulaya na North America.
Adele atachukua likizo hio ya miaka mitano ili kumshugulikia zaidi mtoto wake aliyempata kwenye mahusiano yake na boy friend wake Simon Konecki.
Adele atatumia muda wake mwingi na mtoto wake Angelo na ziara yake itaisha November mwaka huu.