Ticker

10/recent/ticker-posts

HEBU MCHEKI ZARI ANAVYOKODOLEA MACHO SIMU YA DIAMOND KAMA BEYONCE KWA JAY Z

Wapenzi Diamond na Zari wamekuwa wakifananishwa na couple tofauti za mastaa duniani kwa picha na  pozi tofauti.

Kupitia instagram yake Zari amejifananisha na Beyonce kwa jinsi anavyofuatilia shughuli za Diamond kwenye simu yake muda wote wanapokuwa pamoja.

 ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO