Ticker

10/recent/ticker-posts

HEBU CHEKI PICHA ZA MPENZI MPYA WA RAPPER RICK ROSS ALIVYO MZURI ZIKO ..NI NOUMEEER


  RICK ROSS NEW GIRLFRIEND MING LEE
Mapenzi dunia hii ni kitu ambacho hakiwezi kukwepeka iwe tajiri maskini hata kiwete lazima mapenzi uwe nayo au yakufikie na ndani yake misukosuko ya kuachana na kuumizwa ipo, Rapper Rick Ross ameonekana na kifaa kipya ambaye anajulikana kwa jina Ming Lee. Ming ambaye ni mbunifu wa nywele kutoka Atlanta, ambapo walionekana katika moja ya event iliyofanyika Altanta akiwa na mpenzi wake Ming Lee ambaye jina lake ni Elida anaonekana mwenye furaha sana baada ya kuwa na mahusiano na rapper huyo ambaye week zilizopita aliachana na mpenzi wake hivo Ming Lee amekuwa tiba tosha kwa rapper huyo kwa kumtuliza kimawazo

Hizi ni baadhi ya picha zao wakiwa pamoja enjoy

RICK ROSS NEW GIRLFRIEND MING LEE 

RICK ROSS NEW GIRLFRIEND MING LEE

RICK ROSS NEW GIRLFRIEND MING LEE 

RICK ROSS NEW GIRLFRIEND MING LEE 

RICK ROSS NEW GIRLFRIEND MING LEE 

RICK ROSS NEW GIRLFRIEND MING LEE 

RICK ROSS NEW GIRLFRIEND MING LEE