Ticker

10/recent/ticker-posts

MASTAA TYLER PERRY NA RAFIKI YAKE WA KIKE WANATARAJIA MTOTO.

tyler-perry-father-exepcting-gelila-bekele-lead
Tyler Perry akiwa na rafiki yake wa kike Gelila Bekele ambaye ametangaza kuwa ni mjamzito wakitarajia mtoto wao wa kwanza hivi karibuni kwa mujibu wa Hollywood life.com .
Msichana huyo ambaye ni Muethipoia amekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ya muda mrefu na Tyler ambapo wamekuwa wakiachana na kurudiana kwa huo muda wote.Tyler alifyatua habari hizo katika sherehe yake ya bethdei yake alipogonga miaka 45 akidai anajiandaa kwa maisha ya kutolala usiku na kukosa usingizi akiongeza kwamba maisha yake yatabadilika mno.Hongera Tyler na Gelila.