Ticker

10/recent/ticker-posts

MWONE MS FAWWIE,MWANADADA CLASSIC AFRIKA MASHARIKI

AnAnaitwa Ms Fawwie kutoka Kenya, sijui ni 0.5 wa kutoka nchi gani. But ninachojua mimi ni mtu anaejishughurisha na FASHION (makeup&fashion guru Inventor of the phrase ).....Anajuana na mastaa wengi sana hapa AFRIKA MASHARIKI (Kutokana na shughuri zake).......Mbali na kuwa mzuri huyu mwanadada ana-CLASS ya juu sana...yaaani sijui nisemaje......Nadhani ukicheki picha zake hizi utanielewa aitwa Ms Fawwie kutoka Kenya, sijui ni 0.5 wa kutoka nchi gani. But ninachojua mimi ni mtu anaejishughurisha na fashion (makeup&fashion guru Inventor of the phrase ) Anajuana na mastaa wengi sana hapa Afrika Mashariki kutokana na shughuri zake, mbali na kuwa mzuri huyu mwanadada ana-class ya juu sana yaaani sijui nisemaje.
Tazama picha zake hapa na utajua Ben Kinyaiya namaanisha nini.






Post a Comment

0 Comments