Ticker

10/recent/ticker-posts

Yanga Noma Sana Yapanda Dau Kwa Clement Mzize, Waterford na Azam Walie tu

 

Klabu ya Yanga imefanikiwa kumuongezea Mkataba Mpya Mshambuliaji wao mwenye Umri wa Miaka 20 Clement Mzize kwaajili ya kuendelea kusalia klabuni hapo.

.
Kwa Mujibu wa Chanzo Changu ni kuwa Mzize amekubali kusaini mkataba wa miaka 3️⃣ huku kukiwa na Maboresho makubwa kwenye mkataba huo mpya ikiwepo Mshahara.
.
Hakuna Nafasi Tena Kwa Azam Kumpata Mzize.
.
Rais Wa Yanga Eng. Hersi ame Play Part kubwa kumshawishi Mzize kusaini Mkataba Mpya.
.
MZIZE TO AZAM ❌

Post a Comment

0 Comments