JE Wajua?Kumbe ni Asilimia 7 tu ya Nyoka Ndio Wana Sumu Inayoweza Kuua Binadamu

 

Duniani kuna zaidi ya aina 3,000 ya Nyoka zilizogundulika hadi sasa. Katika aina hizo ni 600 tu ndio wenye sumu


Katika nyoka wenye sumu, ni aina 200 sawa na 7% ndio wana sumu ya kuweza kumuua binadamu


Nyoka wengine huonekana nchi kavu, lakini 70% katika aina za nyoka waliopo wanapatikana kwenye maji, hasa Bahari ya Hindi na Pacific


Kuna aina tano za nyoka ambao wanaweza kupaa. Kwa mujibu wa ICUN Red list, kuna aina mia za nyoka ambao wako hatarini kutoweka katika uso wa dunia

Previous Post Next Post

نموذج الاتصال