Ticker

10/recent/ticker-posts

Shuhudia hapa Treni ya Abiria ilivyowasili kwa Mara ya Kwanza Baada ya Miaka 30 Mkoani Arusha


Mamia ya wananchi wa Jiji la Arusha, wamejitokeza kuipokea treni ya abiria iliyowasili kwa mara ya kwanza ikitokea Moshi Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kusitisha safari zake zaidi ya miaka 30 iliyopita.