Ticker

10/recent/ticker-posts

Kila Ninachoongea na Mchumba Wangu Anaenda Kudiscuss na Mama Yake..Sipendi , Nifanyaje?


Jambo moja linalonitatiza ni huu:-Mpenzi wangu anaongea na mama yake saana.kwa nini ninaudhika?

kwa sababu anamwambia mambo yote ya kisiri ambayo bwana na bibi inafaa waongee.

kwa mfano...last time tulivyogombana ilikuwa hivi:-nilimuuliza :kwa nini ulienda town jana,ukaniambia unaenda kununua frem ya spectacles

na leo ukaniambia unaenda kuona customers town pia?akanijibu mimi nilienda kuona customers leo.jana nilienda kuleta frems nikamuuliza si ungeenda siku moja kuleta frem na kuona customers?

alivyofika nyumbani tukagombana...baadaye akampigia mamake, akamwambia

"ananiambia nilikuwa nimeenda kupeana dyudyu"

nilishangaa sana nikajiuliza, kwani mpenzi yangu anaongea maneno haya chafu na
mammake ,, kila kitu anasema, kwanini?
hebu nishauri vile nitakavyoendelea...

from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2VeoKpc
via

Post a Comment

0 Comments