Ticker

10/recent/ticker-posts

Hawa Ndio Mastaa 20 wa Kike Bongo Wenye Followers Wengi Instagram

Mtandao wa Instagram kwa sasa unaonekana kutumiwa zaidi na watu wengi sio Tanzania pekee bali ni dunia nzima kwa ujumla. Ila kwa Afrika mastaa wa Bongo wanaonekana kupata followers wengi zaidi kwenye mtandao huo wakifuatiwa na mastaa wa Nigeria.

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Bongo5, tumekuletea awamu ya kwanza ya orodha ya mastaa 20 wa kike Bongo wenye followers wengi kwenye mtandao huo wakiongozwa na malkia wa filamu nchini Madam Sepenga.

Tazama hapa chini orodha hiyo iliyowajumuisha mastaa kibao wakiwemo waigizaji, wasanii wa muziki, wanamitindo na wafanyabiashara kwenye tasnia ya burudani.

1.@ wemasepetu – 2.5M


2.@ wolperstylish – 2.4M



3.@ jokatemwegelo – 2.3M



4. @shilolekiuno_badgirlshishi – 2.2M



5.@auntyezekiel – 2.2



6.@vanessamdee – 2.1M



7.@shamsaford – 2M



8.@ elizabethmichaelofficial – 1.9M



9.@ officiallinah – 1.9M



10.@rossendauka – 1.7M



11.@new_kajala – 1.7M



12.@jidejaydee – 1.3M



13.@hamisamobetto – 1.3M



14.@queendarleen_ – 913K



15.@flavianamatata – 729K



16.@ireneuwoya8 – 747K



17.@j_n_mengi – 678K



18.@faizaally_ – 657K



19. @mspaulsen – 654K



20.@mwasitij – 642K