Ticker

10/recent/ticker-posts

SIMANZI KUBWA MSANII WA BONGO MOVIES AKIRI KUFANYA BIASHARA YA KUBEBA UNGA NA KUWAUZA WASICHANA WENZAKE..MUONE USHANGAE

Udaku Special Blog: Akihojiwa na Mtandao wa GPL Msanii Lungi Ameulizwa Maswali Mbali mbali , ambayo yamenishtua kidogo ni haya mawili hapa chini ambayo amekiri yote kuwahi kuhusika nayo

Ijumaa: Wafanyabiashara wengi hasa wanaokwenda nchi hizo ulizotaja wanadaiwa kufanya biashara ya ‘sembe’. Wewe ushawahi kubeba mzigo?

Lungi: Ukweli nimewahi kubeba unga na kuwa mfanyabiashara mzuri tu lakini nimeacha kwani niligundua ni biashara mbaya sana na naomba Mungu anisamehe.

Ijumaa: Unatajwa kuwa mmoja wa mastaa wenye tabia ya kuwaunganisha wenzako kwa wanaume, hili nalo likoje?

Lungi: Ilikuwa zamani lakini sasa nimeacha, nimeona ni kazi isiyo na manufaa kwangu.