Ticker

10/recent/ticker-posts

IRINE UWOYA AULIZWA MASWALI MAGUMU NA YENYE UTATA KIKAANGONI LIVE, HEBU SOMA HAYA 10 TU

Muigizaji wa filamu Irene Uwoya jana alikuwa kwenye Kikaango cha EATV/EA Radio ambapo mashabiki huwauliza mastaa maswali kupitia Facebook. Hata hivyo, sio maswali yote yalikuwa ya maana. Haya ni maswali 10 ya kipuuzi au magumu zaidi aliyoulizwa 
*Thomas Muller:* IRENE UWOYA mara ya mwixho kufanya mapenzi LINI?na saa ngpi? 
*Nelson Mgosi:* Hivi nikweli mkuu wa kaya huko Burundi ndio unampa penzi na anakuhonga magari. Jibu maswari usiishie kusema mmhh Asante Nop tunataka majibu 

*Malimba Manoti: * dah!hivi ni kweli ulikuwa hujui kupika ndo maana ukazinguana na shemu? *Sosthenes George:* kwanini unapenda kutuonyesha mapaja ukiwa location? 
*Daudi Shabani:* Unajisikiaje kumuiba mume wa mtu(msami)? *
Ibra Moses Mwaisela:* Irene uwoya kwann umekula hela ya ndikumana umeona kaishiwa umesepa zako ila malipo dunian kama ulimpendea hela utapigwa fain hapahapa 
*Hashish Phill: * Mambo dada hivi maisha yako kwenye familia na mapenzi unayachukuliaje, maake naona kama inaweza kuleta sheda hapo kwenu kwakubadili wanaume public namna hiyo? 
* Alifa Rajab: * Eti ni kweli wakati wa tendo la ndoa unapenda kuingiliwa kinyume na maumbile na ndo chanzo cha h baba kuachana na wewe? 
* Charlles Citty HDee:* ivi irene kwann unamtesa mumeo ndikumana namna hyo? mtu anakupenda ivo alafu unamtenda kiasi hcho?,kwann ulikubal kuolewa mapema kama ulkuwa unajua kwamba ndoa hutoiweza?,alafu n kwel et unatembea na msami? 
 *Ally Rajabu:* nataka nijue km leo umekunya kweli km hujanya kaa kimya!

Post a Comment

0 Comments