Ticker

10/recent/ticker-posts

FRENCH MONTANA AMZAWADIA JEEP KOURTNEY KARDASHIAN


French na Khloe full happy
Baada ya kutimiza miaka 30 tangu kuzaliwa kwake KourtneyKardashiana aka
Khloe na sherehe iliyofanyika katika mgahawa Don COQUI uliyopo juu ya mji Island.
Katika siku ya kuzaliwa kwa Khloe kuliudhuliwa na mastaa mbalimbali kama P.Didy, French Montana, Familia ya Kardashiana akiwa dada yake Kim nk.
Muda ulipofika French Montana akamkabidhi Khloe gari aina ya Wrangler Sahara Jeep yenye thamani ya $ 49,372 na kwa mujibu wa TMZ, pamoja na baadhi ya zawadi kama pete ya dhahabu $ 25,000 18K na emiradi Colombia na njano canary almasi kama vizuri kama grills mbili za shingoni zenye thamani ya $ 10,000.
 



                                                                                                       
Kardashian famili ndani ya mjengo
Kourtney







Family ya Kardashiana's

Post a Comment

0 Comments