Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akizungumza wakati wa uwasilishaji wa taarifa kwa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyotengewa fedha kwa mwaka 2024/2025 leo Jumatano (Machi 12, 2025). Kulia ni Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Christina Mndeme.