Kocha Sead Ramovic Avutiwa na Kennedy Musonda, Baleke sio Ridhiki.....

 Kocha Sead Ramovic Avutiwa na Kennedy Musonda, Baleke sio Ridhiki.....

Klabu ya Yanga Sc imeachana na mpango wa kumng'oa mshambuliaji wao Kennedy Musonda katika kikosi chao,na taarifa inaeleza kuwa Baleke ndie atakae ondoka kwenye kikosi hicho.

Kocha Sead Ramovic amevutiwa sana na Kennedy Musonda ambapo ameonyesha upambanaji katika michezo michache aliyotumika na kocha kuwaambia mabosi wa Yanga kutupilia mbali suala hilo.

Previous Post Next Post

نموذج الاتصال