Kama unaishi Kiluvya Dar es Salaam Soma hii ni Muhimu sana

Kumekuwepo na njia na malengo mbalimbali ya kujaribu kuboresha maisha ya wananchi yanayofanywa na serikali pamoja na wadau mbulimbali wa maendeleo ambapo moja ya eneo muhimu ni la Elimu ambayo mwisho wa siku ndipo maandalizi ya jamii kuanzia ngazi ya familia hadi taifa yanapoanzia.

Mkazi wa mbezi,kibamba,kiluvya,mailimoja na maeneo jirani mmerahisishiwa kwa kuzinduliwa eneo zuri na bora lakumpeleka mwanao wa kuanzia miaka 2 nakuendelea ili apate elimu bora ya awali inayofundiswa ktk mfumo wa kiingereza yaani  English medium….

Kwa maelezo zaidi piga namba zao  hizo za simu 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 kujua zaidi.Ada zao ni nafuu sana.


 

Previous Post Next Post

نموذج الاتصال