CCM Wampitisha Dr Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais 2025

 

Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaofanyika Jijiji Dodoma kwa pamoja umeazimia jina la Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa ndiye atakayegombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM.

“Tunaiagiza Halmshauri Kuu ya CCM Taifa kutekeleza jukumu lake leo, na kwakuwa Katiba ya CCM inasema Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ndio ina Mamlaka kuchagua Mgombea wa Urais Zanzibar, tunaelekeza kikao hicho kukutana leo ili kutekeleza jukumu lake hilo”
Previous Post Next Post

نموذج الاتصال