HABARI PICHA: Mumena akutana na DED Haji Mnasi,wasisitiza Vijana Haya Mazito


Pichani ni Kada machachari wa Chama Chama Cha Mapinduzi na Mwana harakati wa Mtandaoni toka UUVCCM Bw.Asycritus Mumena Eguruki alipokutana hivi karibuni na Daktari Haji Mnasi(PhD) ambaye kimajukumu ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro.

Kama inakumbukwa Bwana Mumena ni kati ya vijana wachache ambao wamejitoa kukisaidia Chama Cha Mapinduzi Mitandaoni jambo ambalo ni la kuigwa na Kupongweza,Hongera sana Ndugu Mumena au marufu mitandaoni anavyofahamika kama  mumena_the_great.

Aidha DED Mnasi na Mumena wamewataka Vijana wa Tanzania kuendelea kuweka mbelea maslahi ya Taifa na kuendelea kuwa wazalendo kwa hatma bora ya Tanzania.

Previous Post Next Post

نموذج الاتصال