HABARI PICHA:RC Daniel Chongolo akiwa na Appostle Boniface Mwamposa

 

Anaandika Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe.Comrade Daniel Godfrey Chongolo”….Leo nimepata fursa ya kukutana na Mtumishi wa Mungu Apostle Mwamposa tukiwa Mbeya. Imekuwa siku njema sana….”

Na sisi kama serikali tunatambua mchango mkubwa wa viongozi wa dini zote katika ustawi wa nchi na taifa letu Mungu awabariki sana
Previous Post Next Post

نموذج الاتصال