Ticker

10/recent/ticker-posts

MBUNGE SILAA NA DC EDWARD MPOGOLO WAONGOZA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU WILAYANI ILALA JIJINI DAR ES SALAAM

 

Moja ya kazi kubwa inayofanywa na Mwenge wa Uhuru ni kuhamasisha maendeleo na kuzindua miradi mbalimbali ikiwepo kutia chachu kwa viongozi wa Chama na Serikali,pichani ni mamia ya wananchi wa Wilaya ya Ialala wakifurahia Mapokezi hayo ya Mwenge wa Uahuru yaliyoongozwa nwa Mkuu wa Wilaya ya Ialal na utazunguka majimbo yote ya Ialal kabla ya kuendelea na ziara yake wilaya zingine Jijini Dar es Salaam.

Mbunge wa Ukonga Mhe. Jerry Silaa akiupokea Mwenge wa Uhuru kama ishara ya kuukaribisha jimboni ukonga ulipotua Jimbo la Ukonga lililopo Wilaya ya Ialal jijini Dar es Salaam leo 25/05/2023 ambapo mwenge huo unatariwa kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo.
Mkuu wa Wilaya ya Ialala Mhe.Edward Mpogolo  akisalimiana na Mbunge wa Ukonga Mhe Jerry Silaa alipowasili jimboni Ukonga leo kwa ajili ya kuupokea mwenge wa uhuru ulipofika leo Wilaya ya Ialal tayari kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo.Wengine ni baadhi ya viongozi wa chama na serikali waliofika kuupokea mwenge huo wa Uhuru.





Post a Comment

0 Comments