Ticker

10/recent/ticker-posts

KATIBU MKUU CCM NDG. CHONGOLO KUANZA ZIARA YA SIKU 7 MKOANI IRINGA,..KUONGOZANA NA MWENEZI MJEMA NA ISSA GAVU

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo leo Mei 26, 2023 atanza ziara ya siku 7 mkoani Iringa, kuimarisha uhai wa Chama ngazi za mashina, kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi zipate utatuzi.


Katika ziara hiyi Katibu Mkuu ataongozana na Katibu wa Halmashauri Kuu NEC, Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema na Katibu wa NEC, Organaizesheni Ndugu Issa Haji Gavu.


Chanzo CCM Blog.

Post a Comment

0 Comments