Moja ya eneo zuri la kutembelea uwapo jijini dodoma ni MALAIKA VILLAGE lililopo barabara kuu ya dodoma - morogoro wilaya ya Chamwino Chinangali II mkabala na makao makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ambapo katika eneo hilo utapata Huduma zifuatazo;
- Michezo ya watoto mfano Bembea na Swimming Pool ya Watoto.
- Swimming Pool kwa ajili ya watu wazima
- Sauna na SPA ya kiwango cha hali ya juu
- Massage nzuri ya kukuondolea uchovu wa Mwili
- Huduma za Malazi kwa ajili ya Mtu mmoja mmoja au Familia/Maharusi
- Huduma ya Supermarket.
- Huduma ya Ukumbi maalum kwa vikao vya Kikazi au Kijamii nk.
- Vyakula ya aina zote kuanzania Nyama Choma,Nyama Pori nk
- Supu na Michemsho ya aina zote
- Viwanja vizuri maalum kwa ajili ya kupiga Picha za Shuguli mbalimbali.
- TV Screen nyingi kwa ajili ya kuangalia mpira mechi za ligi mbalimbali duniani bure.
- Live Band Kila Ijumaa na Speacial Appearance artists nk.
- Happy Hour Kila wiki ikiwa na ofa mbalimbali za Vinywaji,Chakula nk.
Kwa maulizo ya huduma mbalimbali na unaweza kuweka oda kwa kuwapigia
Malaika Village kwa Namba +255 746 727662
KARIBUNI SAANA MALLAIKA VILLAGE DODOMA
0 Maoni