Najiuliza why kila mtu anataka kuwa Pastor.,
Ni kweli ukijua kuongea sana basi unaona unaweza kuwa Pastor.,
Siku hadi siku wachungaji wanamiminika najiuliza
ivi imekuwa ni biashara, Na kama biashara wanadhani kufanya mzaha na hisia za watu wanaomtafuta Mungu kwa gharama yoyote wanawatendea haki.,.,
Najiuliza mbona wenzetu Islam hawana utoto huuu.,.
Wanaheshimu Dini yao, Nani anaweza kutoka kwenye Islam akaongea kama hivi kwa nini sisi kila siku ndio tunaandaa trend za kucheza na kumtania Mungu wetu.,.,
Hili ni tatizo kubwa sio la kufumbia macho.,.
Wenzetu Kenya 🇰🇪 wameanza kufungia wachungaji feki wapotoshaji mpaka upate Leseni ndio unaweza kuendelea kutoa Upako, Lakini sio upako huu wa kutrend.,.
NAKAAAA. NAWAZA NAANGALIA HAYA KUANZIA KWA WENZETU MATAIFA MAKUBWA KUANZA KUKUBALI NDOA JINSIA 1,.
Sio sawa tuheshimu dini zetu ,Matamko ya sinema sio mazuri sana kwenye hisia za watu''
0 Maoni