Akizungumza na Waumini wa kijiji cha Kasumo mkoani Kigoma mara baada ya kushiriki Ibada ya kawaida ya katikati ya Wiki katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikra Maria #DktMpango Amesema kuwa Maadili ya Kitanzania kwa sasa yameporomoka kwa kiasi kikubwa sana na kushangazwa na vitendo vya Ndoa ya Jinsi Moja .
DktMpina Amesema .... "Ndoa za wanaume wawili,Ndoa za Wanawake wawili mliziona wapi? hata wanyama hawafanyi hivi kwahiyo niwasihi sana mchague watoto/vijana wanaangalia nini kwenye Televisheni vinginevyo tutakuwa na Taifa la Ajabu"
.
0 Maoni