Ticker

10/recent/ticker-posts

“FEI TOTO” AITWA KIKOSI CHA TAIFA STARS….. MASTAA WENGINE HAWA HAPA….

 

Kocha wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Adel Amrouche amemuita kikosini kiungo Feisal Salum katika michezo miwili ya kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda
Katika kikosi hicho cha wachezaji 31 kocha Amrouche amewaacha mabeki wa pembeni wa Simba, Mohamed Husseini na Shomari Kapombe.

Chapisha Maoni

0 Maoni