Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo kuanzaia Tarehe 27 Februari 2023 hadi Tarehe 10 Machi 2023, anatarajia kufanya Ziara ya Kuimarisha Chama na Kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi katika Mikoa ya Singida na Manyara .
Ndg. Chongolo ataambatana na wajumbe wa Sekretarieti; Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia Mjema pamoja na Katibu wa NEC Organaizesheni Ndg. Issa Haji Ussi (Gavu)
0 Maoni