Ticker

10/recent/ticker-posts

RC SENYAMUYE AFUNGUKA..ASEMA ''DODOMA NI MKOA WENYE FURSA LUKUKI ZA BIASHARA" SOMA ZAIDI HAPA...

 


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema mkoa wa Dododma ni mkoa wenye fursa nyingi na za aina mbalimba.RC Senyamule ameyasema hayo wakati wa ziara ya kukagua miradi ya kimkakati.Mmoja wa mradi ulitotembelewa ni pamoja na mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya mwendo kasi  (SGR), ambapo Mkuu wa Mkoa amefahamishwa kuwa kipande cha Morogoro , Dodoma umekamilika kwa 91%.
(Msikilize Mkuu wa Mkoa akieleza fursa mbalimbali zitakazopatikana katika Moa wa Dodoma Hapa Chini)


Chapisha Maoni

0 Maoni