Ticker

10/recent/ticker-posts

MBUNGE MAFUWE,DC IRANDO WAKABIDHI PIKIPIKI 34 KWA BODA BODA HAI..SOMA ZAIDI

Habari Picha: Mbunge wa Hai Mhe. Saashisha Mafuwe hivi karibuni akikata utepe katika zoezi la kukabidhi pikipiki 34 kwa wawendesha bodaboda iliyofanyika mji wa Bomang'ombe zilipo ofisi ya Halmashauri ya wilaya ya Hai  ikiwa ni moja ya uwezeshaji vijana hao kutoka serikalini  ambapo katika makabidhiano hayo wanaoshuhudia ni Mkuu wa wilaya ya Hai Mhe.Juma Irando,Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Hai Ndugu Wanguba Magai,Mwenyekii wa halmashauri ya Hai Mhe.Edmund Rutahaka,Diwani wa Viti maalum Mhe.Pendo Sawe,Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Hai Ndugu Dionice Myinga pamoja na wawakilishi wa chama cha mapinduzi wilayani humo.
 

Post a Comment

0 Comments