Ticker

10/recent/ticker-posts

PICHA:SHUHUDIA KATIBU MKUU CCM NDG.DANIEL CHONGOLO ALIVYOTEMBELEWA NA MABALOZI WA MAREKANI NA UINGEREZA

 Picha ikimuonyesha Katibu mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo alivyokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Dkt Donald Wright ambapo Baada ya Mazungumzo Katibu mkuu alimshukuru na kumkaribisha tena Balozi huyo wa Marekani akisisitiza CCM Chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan itaendeleza na kuimarishai uhusiano mzuri uliopo kati ya CCM na Nchi ya Marekani  na kusema yeye amejifunza jambo.

 Picha ikimuonyesha katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo akimkabidhi ilani ya CCM Balozi wa Marekani Dkt Donald Wright mara baada ya kufanya mazungumzo yao yaliyofanyika hivi karibuni katika ofisi ndogo ya Makao makuu  ya Chama hicho Lumumba Jijini Dar es Salaam.

 Picha ikimuonyesha Balozi wa Uingereza nchini David Concar alipomtembelea na kufanya  mazungumzo na katibu mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo  ofisini kwake katika ofisi ndogo za makao makuu ya CCM zilizopo Lumumba Jijini Dar es Salaam ambapo baada ya mazungumzo hayo katibu mkuu  Chongolo amesisitiza amejifunza jambo.


Post a Comment

0 Comments