Ticker

10/recent/ticker-posts

Kifo cha Askofu Tutu,Katibu mkuu wa CCM Daniel Chongolo ameandika ujumbe huu wa majonzi..,Hebu usome Hapa

 
Kufuatia msiba mkubwa ulioikumba nchi ya Afrika kusini kwa kuondokewa na Kiongozi wake Mahiri na mmoja wa wapigania Uhuru wa Nchi Hiyo Askofu Desmond Tutu viongozi mbalimbali wametoa salamu zao za pole kwa Rais wa Afrika ya kusini Cyrill Ramaphosa na wananchi wa Nchi hiyo,Ambapo  pia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mhe Daiel Chongolo aliandika ujumbe wake wa Salamu za Pole kwa Lugha ya Kizulu ukisomeka 

''Ulale Kahle,Ngoxolo Desmond Tutu'' yaani 
'Pumzika kwa Amani Baba Askofu Desmond Tutu''

Ikumbukwe Askofu Desmond Tutu ni moja wa Viongozi wa Afrika ya kusini waliokuwa na Ushawishi mkubwa kwenye Duru za Kimataifa na ni mmoja wa waasisi wa kupigania uhuru wa nchi hiyo pamoja na kati ya watu waliokuwa mstari wa mbele kutetea haki za binadamu ikiwepo kupinga ubaguzi wa Rangi,...na kwa kumbukumbu ya wapenzi wa mchezo wa Soka Askofu Desmond Tutu akiwa na Rais wa kwanza Mweusi  wa Afrika Kusini Nelson Nlanla Mandela waliongoza ujumbe wa Afrika ya kusini mwaka 2006 kwenda Mkutano mkuu wa Shirikisho la soka Duniani FIFA na kuweza kukubaliwa kuipa nafasi Afrika ya Kusini kuandaa michuano ya kombe la Dunia mwaka 2010 na hivyo kwa Mara ya Kwanza kulifanya kombe hilo kufanyika Barani Afrika Tangu kuasisiwa kwake mwaka 1930.

Post a Comment

0 Comments