wananchi pembezoni mwa nchi kupata elimu ya kisheria na upatikanaji wa haki kupitia radio za kijamii.

  Masama Blog      

 Mkurugenzi Mtendaji wa LSF Lulu Ngw’anakilala akitoa mada juu ya ushirikishwaji wa radio katika kuchochea haki na usawa kwa wananchi katika mkutano maalum wa kuadhimisha siku ya radio duniani uliofanyika Zanzibar.Hivi karibuni, LSF imeingia ubia na mtandao wa radio za kijamii TADIO ili kuwezesha wananchi hususani wapembezoni mwa nchi kupata elimu kuhusu maswala ya kisheria na upatikanaji wa haki (Picha kwa hisani ya LSF)
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2SlAjMJ
via
logoblog

Thanks for reading wananchi pembezoni mwa nchi kupata elimu ya kisheria na upatikanaji wa haki kupitia radio za kijamii.

Previous
« Prev Post