TANZIA: MZEE IDDI SIMBA AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM

  Masama Blog      

Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara katika serikali ya Awamu ya Tatu Mzee Iddi Simba amefariki dunia leo asubuhi katika Tasaisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu, binti yake Sauda Simba amethibitisha.

Habari zaidi pamoja na mipango ya mazishi tutajulishana baada ya muda si mrefu


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/39AhH1r
via
logoblog

Thanks for reading TANZIA: MZEE IDDI SIMBA AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM

Previous
« Prev Post