TAKUKURU ICHUNGUZENI KAMPUNI INAYOCHUKUA MAPATO YA FAINI ZA MAROLI- RC MAKONDA

  Masama Blog      
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda (kushoto) akizungumza na watendaji wote wa Barabara katika ukumbi wa Anatoglo Mnazi Mmoja leo jijini Dar es Salaam,ampoa  Makonda aliitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuchungunguza Kampuni inayochukua  mapato ya faini  za Maroli na kulipa fedha zote ilizokusanya tangu mwaka juzi. 
 Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto (kushoto) akizungumza na watendaji wote wa Barabara katika ukumbi wa Anatoglo Mnazi Mmoja leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Kwai (wa kwanza kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni,Ng’wilabuzu Ludigija (wapili kushoto) katika mkutano wa watendaji wote wa Barabara katika ukumbi wa Anatoglo Mnazi Mmoja leo jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Wakuu wa Wilaya na viongozi mbalimbali wa kiwa katika mkutano wa watendaji wote wa Barabara katika ukumbi wa Anatoglo Mnazi Mmoja leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Mkutano ukiendelea.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/38WVnip
via
logoblog

Thanks for reading TAKUKURU ICHUNGUZENI KAMPUNI INAYOCHUKUA MAPATO YA FAINI ZA MAROLI- RC MAKONDA

Previous
« Prev Post