TAARIFA KWA UMMA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

  Masama Blog      
  1. MANCHARE HECHE SUGUTA
Tunapenda kuutarifu Umma kwamba mtajwa ambaye picha yake inaonekana hapo juu alikuwa mtumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Kwasasa, Bw. Manchare Heche Suguta amepangiwa majukumu mengine kwa utaratibu wa kawaida wa Serikali hivyo hatahusika na shughuli zozote za Baraza wala Ofisi ya Makamu wa Rais.

Imetolewa na
Mhandisi Joseph K. Malongo
Katibu Mkuu


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/39unntP
via
logoblog

Thanks for reading TAARIFA KWA UMMA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Previous
« Prev Post