SBL na Ubalozi wa Uingereza waandaa maadhimisho ya miaka 200 ya Johnnie Walker Whisky

  Masama Blog      
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), Mark Ocitti (kushoto), na balozi wa Uingereza, Sarah Cook, wakionja Whisky aina ya John Walker Blue Label katika hafla maalum ya ‘Whisky Tasting’ iliyoratibiwa na Serengeti Breweries Limited (SBL) ikilenga kuwapa nasasi wateja na wadau wengine kuonja ladha ya vinywaji vikali vinavyosambazwa na kampuni hiyo  ikiwamo Johnnie Walker inayotimiza miaka 200 tangu kuanzishwa kwake. Hafla iliyofanyika  kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es Salaam jana.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), Mark Ocitti (kushoto), akichukua whisky  aina ya Johnnie Walker Blue Label katika hafla maalum ya ‘Whisky Tasting’ iliyofanyika katika makazi ya balozi huyo jijini Dar es Salaam.
 Balozi wa Johnnie Walker Afrika Mashariki, Marcus Kwikiriza, akizungumza wakati wa hafla maalum ya ‘Whisky Tasting’ iliyofanyika katika makazi ya balozi wa Uingereza jijini Dar es Salaam jana.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), Mark Ocitti, akizungumza katika hafla maalum ya Whisky Tasting iliyoratibiwa na Serengeti Breweries Limited (SBL) ikilenga kuwapa nasasi wateja na wadau wengine kuonja ladha ya vinywaji vikali vinavyosambazwa na kampuni hiyo ikiwemo Johnnie Walker inayotimiza miaka 200 tangu kuanzishwa kwake. Hhafla iliyofanyika kwenye makazi ya balozi wa Uingereza jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Uingereza  hapa nchini Sarah Cook, akizungumza katika hafla maalumu ya kuonja pombe kali aina ya Whisky iliyoratibiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) ikililenga kuwapa nafasi wateja na wadau wengine nafasi ya kuzifahamu na kuzionja  pombe kali zinazosambazwa na kampuni hiyo ikiwamo  Johnnie Walker inayotimiza miaka 200 tangu kuanzishwa kwake. Hafla iliyofanyika kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es Salaam.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2tkoXyP
via
logoblog

Thanks for reading SBL na Ubalozi wa Uingereza waandaa maadhimisho ya miaka 200 ya Johnnie Walker Whisky

Previous
« Prev Post