RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA BALOZI KANALI IBUGE KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI

  Masama Blog      

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John  Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Kanali Wilbert Augustine Ibuge kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumamosi Februari 8, 2020.Picha na Ikulu


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2H771eq
via
logoblog

Thanks for reading RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA BALOZI KANALI IBUGE KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI

Previous
« Prev Post