OFISI YA WAZIRI MKUU YAKIDHI VIWANGO VYA OSHA

  Masama Blog      

Katibu wa Waziri Mkuu Bw. Raymond Gowelle, akikabidhiwa cheti cha ukaguzi katika maeneo yote ya ofisi hiyo na Kaimu Mtendaji Mkuu MAMLAKA ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA), Khadija Mwenda, kwenye zoezi la upimaji wa afya na mafunzo ya OSHA kuhusu usalama katika maeneo ya kazi, yaliyofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa, jijini Dodoma Februari 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Fredrica Shirima, akipimwa urefu na Mkaguzi wa Afya MAMLAKA ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA), Saredho Hussein, kwenye zoezi la upimaji wa afya na mafunzo ya OSHA kuhusu usalama katika maeneo ya kazi, yaliyofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa, jijini Dodoma Februari 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, wakiwa wamemmbeba mwenzao kama mfano wa kumpa huduma ya kwanza mtu aliyepata ajali ya kuvunjika viungo, kwenye zoezi la upimaji wa afya na mafunzo ya OSHA kuhusu usalama katika maeneo ya kazi, yaliyofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa, jijini Dodoma Februari 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Thomas Salila, akipimwa usikivu wa masikio na Mkaguzi wa Afya MAMLAKA ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA), Zakayo Mmbaga, kwenye zoezi la upimaji wa afya na mafunzo ya OSHA kuhusu usalama katika maeneo ya kazi, yaliyofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa, jijini Dodoma Februari 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Kaimu Mtendaji Mkuu, MAMLAKA ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA), Khadija Mwenda, ukitoa elimu kuhusu usalama katika maeneo ya kazi, kwenye zoezi la upimaji wa afya na mafunzo ya OSHA , yaliyofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa, jijini Dodoma Februari 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, wakimsikiliza Mkufunzi wa Huduma ya Kwanza (OSHA), Moteswa Meda, wakati akiwaelekeza mfano wa kumpa mtu huduma ya kwanza pindi anapopata dharura, kwenye zoezi la upimaji wa afya na mafunzo ya OSHA kuhusu usalama katika maeneo ya kazi, yaliyofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa, jijini Dodoma Februari 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2OmV7AX
via
logoblog

Thanks for reading OFISI YA WAZIRI MKUU YAKIDHI VIWANGO VYA OSHA

Previous
« Prev Post