NEWZ ALERT : MBUNGE ZITTO KABWE AKUTWA NA KESI YA KUJIBU

  Masama Blog      
 Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar leo,Jumanne Februari 18,2020 imemkuta na kesi ya kujibu  Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia tiketi ya chama cha ACT  WAZALENDO,Mhe. Zitto Kabwe.Kufautia uamuzi huo Mhe.Zitto ataanza kujitetea.

Zitto anakabiliwa na  kesi ya  uchochezi namba 237 ya mwaka 2018.

Taarifa kamili tutawaletea baadae.......


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2HwZaHp
via
logoblog

Thanks for reading NEWZ ALERT : MBUNGE ZITTO KABWE AKUTWA NA KESI YA KUJIBU

Previous
« Prev Post