DOWNLOAD APP YETU HAPA

NEWS ALERT: Gari ya polisi yapata ajali Njombe,askari watatu wafariki dunia

  Masama Blog      


Na Amiri kilagalila-Njombe

Askari watatu kati ya kumi na mbili wa jeshi la polisi mkoani Njombe waliokuwemo kwenye gari la polisi, wamefariki dunia katika ajali iliyotokea majira ya saa 12 asubuhi ya leo ,baada ya kugongana kwa gari la polisi na basi la abiria kampuni ya Sharon lenye namba za usajili T349 CXB linalofanya safari zake Arusha-Njombe,Alto Mtega mganga mfawidhi hospitali ya mji Njombe (Kibena) amethibitisha.
 
Tutawaletea taarifa kamili,Endelea kufuatilia Michuzi Globu.from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2OqnJcS
via
logoblog

Thanks for reading NEWS ALERT: Gari ya polisi yapata ajali Njombe,askari watatu wafariki dunia

Previous
« Prev Post