Mreno kutoka Benfica Carraca Antonio Domingos Pinto Atua Yanga Kufanya Mabadiliko ya klabu

  Masama Blog      

KLABU ya Yanga leo Jumamosi Feburuari 1, 2020 wamemshusha, Carraca Antonio Domingos Pinto raia wa Ureno kwaajili ya kusimamia mfumo wa uendeshaji wa klabu yao.

“Ukiangalia wasifu wake utaona kabisa kwamba huyu jamaa ni wa namna gani, alipita Benfica ambapo imewatoa wachezaji wengi pia amekuwa bora katika kuwauza wachezaji wao kama Contrao na wengineo,” alisema.
Yanga wapo katika mkakati wa kuelekea kwenye mabadiliko ya kiuendeshaji na wamemleta Domingos kwaajili ya kusaidia mchakato huo kuwa wa mafanikio.

Domingos aliwahi kufanya kazi na Benfica mwaka 2008-2013 akiwa Meneja Mkuu kabla ya baadae kutimkia kampuni ya WSPORTS 7 akiwa kama meneja mkuu. GPL


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2RN3k3J
via
logoblog

Thanks for reading Mreno kutoka Benfica Carraca Antonio Domingos Pinto Atua Yanga Kufanya Mabadiliko ya klabu

Previous
« Prev Post