MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MJINI KIGOMA

  Masama Blog      


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mwanga Community Centre uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari 21,2020
Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Mwanga Community Centre uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari 21, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/32gbzZL
via
logoblog

Thanks for reading MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MJINI KIGOMA

Previous
« Prev Post