KUTOKA MTAANI KWETU MKURANGA LEO

  Masama Blog      
Mjasiliamali wa samaki katika kituo cha Mabasi cha Mkuranga mkoa wa Pwani ,akitayarisha Samaki kwa lengo la kuwauza kwa wateja mbalimbali watakaofika katika kituo hicho kama inavyoonekana pichani.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Kazi ikiendeelea ya kuuza samaki katika kituo cha Mabasi Tabata Segerea Wilaya ya Ilala Jijini Da es Salaam.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2SwthEZ
via
logoblog

Thanks for reading KUTOKA MTAANI KWETU MKURANGA LEO

Previous
« Prev Post