KAMISHNA WA JESHI LA POLISI, CP SABAS APOKEA MSAADA WA PIKIPIKI 10 KUTOKA KAMPUNI YA KINGLION

  Masama Blog      


Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas, akisalimiana  na mwakilishi wa Kampuni ya utengenezaji wa pikipiki aina ya Kinglion baada ya kuwasili Makao Makuu ya Polisi Jijini Dar Es Salaam walizozitoa kwaajili yakusaidia shughuli mbalimbali za Jeshi la Polisi ikiwemo Doria.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas, akiwa amepanda pikipiki moja kati ya 10 zilizotolewa  na Kampuni ya Kinglion ndani ya Jeshi la Polisi kwaajili ya shughuli mbalimbali za Jeshi
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas, wa saba kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja na wawakilishi kutoka kampuni ya Kinglion baada ya kukamilika zoezi zima la makabidhiano ya kupokea  pikipiki 10 aina ya Kinglion zitakazotumia Mkoani Dodoma kwaajili ya shughuli za Jeshi la Polisi (Picha na Jeshi la Polisi)


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/3bypA9v
via
logoblog

Thanks for reading KAMISHNA WA JESHI LA POLISI, CP SABAS APOKEA MSAADA WA PIKIPIKI 10 KUTOKA KAMPUNI YA KINGLION

Previous
« Prev Post