JE UNAYAJUA MASHARTI YA UENDESHAJI WA BIASHARA YA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA.?.

  Masama Blog      

Kamishna wa Sekta ndogo ya Fedha Wizara ya Fedha na Mipango,Dkt Charles Mwamwaja alipokuwa akiwasilisha mada katika semina ya Wahariri na Waandishi wa Habari kuhusu Elimu ya Sera ,Sheria na kanuni za huduma ndogo za Fedha,iliyofanyika hivi karibuni mjini Morogoro. Pamoja na mambo hayo,Kamishna Mwamwaja pia alieleza na kufafanua kuhusu Masharti ya uendeshaji wa biashara hiyo ya huduma ndogo za fedha kama yanavyoonesha hapa chini.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/38lErly
via
logoblog

Thanks for reading JE UNAYAJUA MASHARTI YA UENDESHAJI WA BIASHARA YA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA.?.

Previous
« Prev Post