DK.Shein Akutana na Waziri wa Muungano na Mazingira Mhe. Zungu

  Masama Blog      
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana  na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na Mazingira  Mhe.Mussa Hassan Zungu (katikati) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha akiwa ujumbe wake (Kushoto) Mkurugenzi wa Muungano Balozi   Mbarouk Nassor Mbarouk.(Picha na Ikulu.) 14/02/2020.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2vAyQte
via
logoblog

Thanks for reading DK.Shein Akutana na Waziri wa Muungano na Mazingira Mhe. Zungu

Previous
« Prev Post