CGP SULEIMAN MZEE AONGOZA KIKAO KAZI LEO CHA MAAFISA NA ASKARI MAGEREZA TOKA VITUO VYA KANDA YA DAR ESALAAM

  Masama Blog      
 Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee(kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, ACP. Joel Matani kabla ya kikao kazi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza kutoka katika vituo vilivyopo Kanda ya Dar es Salaam, leo Februari 10, 2020.
 Kamishna wa Magereza anayeshughuliika na Utawala na Rasilimali watu, Uwesu Ngarama akitoa maelezo ya awali kabla ya kumkaribisha Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee(katikati meza kuu) kuzungumza katika kikao kazi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza kutoka katika vituo vilivyopo Kanda ya Dar es Salaam, leo Februari 10, 2020.
 Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akiongoza kikao kazi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza kutoka katika vituo vilivyopo Kanda ya Dar es Salaam, leo Februari 10, 2020.
 Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakifuatilia kwa umakini mkubwa maelekezo ya Kamishna Jenerali wa Magereza aliyoyatoa katika Kikao kazi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza kutoka katika vituo vilivyopo Kanda ya Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Askari wa kike wa Jeshi la Magereza kutoka vituo mbalimbali vya Magereza, Kanda ya Dar es Salaam wakisikiliza maelekezo ya Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee(hayupo pichani) katika Kikao kazi hicho(Picha zote na Jeshi la Magereza).from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2OX6e4f
via
logoblog

Thanks for reading CGP SULEIMAN MZEE AONGOZA KIKAO KAZI LEO CHA MAAFISA NA ASKARI MAGEREZA TOKA VITUO VYA KANDA YA DAR ESALAAM

Previous
« Prev Post